- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
BURUDANI:DIAMOND KUMBE ANA MAPACHA BURUNDI
-Ukistaajabu ya Lissu utayaona ya zitto,Diamond ana watoto mapacha Burundi,mwanamke afunguka kila kitu
-Adai Diamond hajawahi kutuma ata 100
-Zari apewa kichambo sio cha Nchi hii
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wakati sakata la mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kuzaa na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, likiwa bado bichi kabisa na halijafutika akilini mwa watu, mwanamke mwingine kutoka Burundi ameibuka na kudai ana watoto mapacha wa mwanamuziki huyo.
Ishu hiyo imeanzia mitandaoni baada ya mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Jesca, kuposti picha ya Zari anayedai alikuwa shoga ake, na kumshushia kichambo ‘hevi’, huku akimtuhumu kuwa alimpora mwanamuziki huyo, kwani mara ya kwanza alikuwa ni wake na yeye alikuwa akimuita shemeji.
Baada ya kumchamba Zari, akaposti tena picha yake akiwa na watoto wake mapacha anaodai kuzaa na mzazimwenziye Zari, akimuomba aje awachukue watoto wake.
Mpaka sasa bado mwanamuziki huyo ambaye ni baba watatu kwa sasa, hajathibitisha kuwa anamfahamu mwanamke huyo na hao watoto ni wa kwake kweli.