Lulu Diva ameeleza hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio baada ya watu wengi kuanza kumuoneshea vidole kuwa anajipiga kitaulo (anajichubua) kwa maana rangi yake ya awali haikuwa hivyo.
"Unajua kwamba msanii unatakiwa uanze kujitengeneza mwenyewe kuanzia mwili wako, ngozi pamoja na vitu unavyokula. Naweza sema nakula sana mboga mboga na matunda, kuna baadhi ya vyakula vinasaidia hata kung'arisha ngozi", amesema Lulu Diva.http://www.eatv.tv/news/entertainment/mboga-mboga-zamstili-lulu-diva#