Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 5:24 am

BURUDANI: LAVALAVA AWAPA SOMO NAMNA YA KUMPETIPETI MPENZI WAKO

Dar es salaam: Mwanamuzi chipukizi kutoka label ya WCB nchini Tanzania Lavalava amesema kuwa mwanamke haitaji pesa ili akupende ila kuna vitu vidogo vidogo kama kupetipeti vinahitajika ilikunogesha mapenzi " Moja Ya Vitu Ambavyo Mwanamke Anatamani Kuvipata Kutoka Kwa Mwanaume Ni Kupetiwa..."

Akiandika kwenye Ukurasa wake wa Instagram mkali huyo ambaye anahiti ya ngoma yake mpya ya DEDE amesema kuwa wanaume wengi wanahisi wao wakiwa napesa ndio wamemaliza kila kitu "Watu Wengi Wanahisi Mwanaume Akiwa Na Pesa Basi Amemaliza Kila Kitu.....Jaribu Kuonyesha Unamjali Mpenzi Wako Kwa Vitu Vidogo vidogo Tu Ila Kwake Mwanamke Vina Thamani...." aliongea Lavalava