November 26, 2024, 9:19 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
BURUDANI : "ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE"-SHAMSA FORD
Wakati moto ukiendelea kuwaka Hamisa Mobetto kujulikana kuzaa Diamond Platnumz wakati akiwa na mhusiano na mpenzi wake Zari. Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka na kuwafunda wanawake kwa kusema kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
Shamsa Ford ambaye ni mke wa halali wa Chid Mapenzi, mashabiki wameibua mzozo katika mtandao wa Instagram ambao baadhi ya mashabiki wamedai kuwa anamuonea wivu Hamisa.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.haitakuja kutokea kamwe wanawake tukapendana.mwanamke ndo huwa mstari wa mbele kumuumiza na kumdhalilisha mwanamke mwenzie.kabla ya kumuumiza mwanamke mwenzio jaribu kuvaa viatu vyake ingekuwa wewe ungefanyaje..wanawake sisi daaa####TUNAHITAJI MAOMBI
Shamsa amekuwa akiutumia ukurasa wake wa instagram kuwandika mambo mbalimbali ya kushauri wanawake na watu ambao bado hawajaingia kwenye ndoa