Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 1:31 pm

BREAKING: TUNDU LISSU APIGWA RISASI NA MTU ASIE JUILIKANA

Dodoma : Mwanasheria mkuu wa chadema na Rais wa TLS Tundu Lissu amepigwa risasa mkoani Dodoma akiwa kwenye Shughuli za kibunge,

Taarifa kutoka mkoani humo zinasema kuwa Lissu amepigwa Risasi na mtu asie fahamika na amekimbizwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya General iliyopo mkoani humo. endelea kufuatilia muakilishi.com ilitukupe info zaidi pia tembelea kwenye Mitandao yetu ya kijamii @muakilishiTZ