- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
AUDIO: TAARIFA ZA KUPASULIWA KWA MUIGIZAJI SHAMSA FORD KWENYE UGOMVI
Dar es salaam: Malkia wa bogo move Shamsa Ford Jana alipata majanga ya kupasuliwa usoni, baada ya kupigwa kwa kuingilia ugomvi ambao kimsingi ulikuwa haumuhusu.
akipiga stori na muakilishi.com Mwana Dada huyo ambae pia ni mama wa familia anasema aliingilia ugomvi wa Jamaa zake wa karibu kwa kutaka kufanya usuluhishi baina ya wapiganaji hao wawili ndipo mmoja kati ya hao (kiume) wapiganaji akapatwa na jazba na kumpiga Ford ngumi ya Uso na kumpelekea kupasuka kwa uso. Shamsa kwa sasa amesha toka Hospitali na ameiambia Muakilishi.com kuwa yupo salama,
Pia Ford aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa "Jana kwa moyo mmoja nimeenda kuamulia ugomvi watu wasipigani mwisho wa siku nikaambulia mimi .... HUYU mtu alishiba sana aiseee ngumi ilikuwa nzito sana ...niombeeni ndugu zangu panauma" alisema shamsa ford
Pia Ford ameongelea maswala yake ya move yake mpya inayo kuja inayoitwa Mother House ambayo anataraijia kutoa siku sio nyingi amapo amewaomba mashabiki wake wakae mkao wa kula juu ya ujio wa movi hiyo mpya