- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Atishiwa na wana siasa
Tanga: Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Deusdedit Kakoko amedai kuwa kuna wanasiasa wamekuwa wakimtisha asitekeleze majukumu yake aliyopewa na Rais John Magufuli ya kuiboresha mamlaka.
BURUDANI: Diamond Platnumz anatualika kutazama Video zake 10 bora anazozikubali
Dar es salaam: unaweza ukaambiwa uchague nyimbo zako bora ambazo unazo zikubali kutoka kwenye mziki wa Diamond Platnumz na pengine mkapishana na Diamond kwenye kuchagua au kupendekeza nyimbo hizo. Ha
RIPOTI: Yafaham mambo 10 ambayo watanzania waliyo ya seaching zaidi kwenye mtand...
Calfonia: Kampuni ya Google imetoa ripoti ya mambo ambayo Watanzania walitafuta sana mtandaoni kwa mwaka 2016Maelezo waliyotafuta yameangazia masuala ya afya, biashara na fedha na pia burudani.Pia, ya
MICHEZO: Luis Suarez asaini mkataba mpya Barcelona hadi 2021
Hispania: Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekubali kusaini mkataba mpya na vigogo hao wa soka nchini Uhispania unaofikia thamani ya Euro milioni 167 ikijumuisha kipengele cha kumuuza kwa timu i
News: Profesa Joyce Ndalichako asitisha kuajiri walimu wa Arts
Dar es salaam: WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, ametoa masharti mapya ya ajira za ualimu nchini, huku akisema Serikali haitaajiri walimu wa masomo ya sanaa (ar
Brand New Music: Diamond Platnumz ft NEYO - Marry you
Dar es salaam: Hatimaye collabo iliyo kuwa inasubiriwa kwa muda mrefu imetoka , wimbo wake Diamondi Platnumz ft Neyo - marry you, leo hii anatualika kuisikiliza goma hiyo ambayo baadhi ya vipande vya
News: Maalim Seif atolea ufafanuzi sakata la kutokumpa mkono Rais wa Zanziber Al...
Zanziber: Alie kuwa mgombea uraisi kupitia chama cha wananchi CUF ambae pia ndio Katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamad hatimae ameamua kulizungumzia swala la yeye kuto kumpa mkono Rais
News: Zaidi ya nyumba 40 Mkoani kigoma za bomolewa kufuatia mvua kali iliyonyesh...
Kigoma: maafa makubwa yamewakumba wakazi wa kigoma ujiji baada ya mvua kubwa iliyo ambatana na upepo mkali kunyesha, mvua hiyo iliyo nyesha kuanzia majira ya saa moja asubuhi mpaka mwendo wa saa 4 asu
New video: Spicy ft LadyJaydee - Together remix
Nakukaribisha kuitanzama video ya Spicy akiwa na Lady Jaydee ‘Together Remix.’ mziki umefanyika kwenye ardhi ya MagufuIli pande za Zanzibar na kuongozwa na Justin Campositazame hapo video
Branding new Song: Nay wa mitengo - SIJIWEZI
Chukua dakika zako tatu kuisikiliza Ngoma mpya ya Nay wa mitengo - SIJIWEZI mziki umetengenezwa kwenye studio ya Free Nation, ambayo pia ni studio anayo imiliki Nay, Kwenye mziki huu Nay kaamua kubad