Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 3:34 pm

VIDEO: DIAMOND ANATUALIKA KWENYE VIDEO YAKE MPYA INAITWA - JEJE

Star wa Muziki Kutoka Africa Mashariki Naseib Abdul maarufu Kama Diamond Platnumz ameachia video mpya inaitwa JEJE.

Image result for jeje diamond

Video hiyo amefanya katika visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania, Director wa Video hiyo ni Director Kenny kutoka Zoom Extra.

Unaweza KUITAZAMA hapa chini