Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 3:18 pm

SIMBA YAMTAMBULISHA MGANA AUGUSTINE OKRAH

Klabu ya Simba leo imemtangaza rasmi, mchezaji Augustine Okrah anayechea eneo la kiungo kutoka nchini Ghana, kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo baada ya kusaini mkataba wa kuitumikia club hiyo kwa miaka miwili.

AUGUSTINE OKRAH CV YAKE

Umri: 28

Nafasi: Kiungo Mshambuliaji

Taifa: Ghana

MSIMU 2021 - 2022 (BECHEM UNITED)

Mechi - 31

Magoli - 14

Assists - 8

2019 - Aliitwa kwa mara ya kwanza kwenye timu ya taifa ya Ghana.

TAKWIMU ZAKE KISOKA

2012/13 - Asante Kotoko (Ghana)

2013/14 -Liberty Professionals (Loan) (Ghana)

2013/14 - Bechem United (Ghana)

2014 - BK Hacken (Loan) (Sweden)

2015/16 - Al Merrikh (Sudan)

2016/17 - Al Hilal (Sudan)

2018 - North East United (India)

2019 - Asante Kotoko (Ghana)

2021/22 - Bechem United (Ghana)