Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 9:23 am

Picha na vinyago vya utupu za mgombea Uraisi wa Marekani kwa chama cha republicani zawa kivutio

Vinyago hivyo vinaonesha utupu wa mgombea urais Bw. Donald Trump vimekuwa vivutio vikubwa kwa watu waliokuwa wanapita