Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 7:00 am

PICHA 4 MUONEKANO WA NDEGE ILIYOANGUKA BAADA YA KUTOLEWA MAJINI

Hivi ndiyo Hali ya ndege ya shirika la Precision Air PW 494 iliyopata ajali siku ya jana jumapili Novemba 7, 2022 na kufanikiwa kuuwa abiria 19 .

Ndege ilifanikiwa kusogezwa hadi karibu kabisa na ukiongo wa Ziwa Victoria baada ya jitihada za wananchi na mamlaka za kiserekali kuivuta. Ndege hiyo ilkua ikitoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kupitia Mwanza. Ilipata ajali wakati inakatibia kutua katika uwanja wa mji wa Bukoba.

Precision Air ndiyo shirika kubwa la ndege la kibinafsi la Tanzania na kwa sehemu inamilikiwa na Kenya Airways. Ilianzishwa mnamo 1993 na inaendesha safari za ndege za ndani na kikanda.w

ww

w