Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 12:42 pm

Official Music Video: Richmavoko ft Fid Q - Sheri

Dar es salaam: Mwanamuziki wa Bongo Flevani Richard Martint Singwa A.K.A Rich Mavoko amekuja na kioo chake kipya ambacho amemshirikisha Mwana Hip Hop Mkongwe wa Hapa nchini Fid Q, ngoma imetengenezwa na Producer Abbah na kioo kutoka kwa Directer Joowzey.