Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 9:09 am

NEWS: IDADI YA VIFO KATIKA JENGO LILILOSHAMBULIWA NA URUSI YAFIKIA 40

Mamlaka nchini Ukraine, zimesema idadi ya waliokufa kutokana na shambulizi la kombora la Russia kwenye jengo la ghorofa huko Dnipro imeongezeka hadi kufikia 40.

Wakati idadi ikiongezeka waokoaji waliendelea kufukua vifusi ili kuona kama kuna manusura wowote.

UPDATED: Death toll from Russia's attack on Ukraine's Dnipro rises to 29 - War in Ukraine - World - Ahram Online

Gavana wa mkoa wa Dnipropetrovsk, Valentyn Reznichenko, amesema kwenye mitandao ya kijamii kuwa shambulio hilo limejeruhi watu 75 na kwamba hali ya wengine 30 haijulikani.

Searches in Rzenichenko: NABU searched head of Dnipropetrovsk RMA Reznichenko, - mass media « News | Mobile version | Censor.NET

Wafanyakazi wa uokoaji walitumia vifaa kuondoa uchafu siku ya Jumatatu, wakifanya kazi mfululizo kwa matumaini ya kuwapata walio athirika.

Shambulizi hilo la kombora lilifanyika Jumamosi ambapo jeshi la anga ya Ukraine likisema ni kombora la Kh-22 lililorushwa kutoka eneo la Kursk nchini Russia