Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 11:46 am

MUSIC VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION - African Beauty (Official Music Video)

Dar es salaam: Ma bibi na ma bwana Mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki Diamond Platnumz anatualika kuitazama video yake mpya(African Beauty ) aliyomshirikisha msanii wa siku yingi kidogo kutoka kwenye Ardhi ya Donald Trump nchini Marekani (OMARION ). Ngoma Imetengenezwa na Producer kutoka Wasafi Record (Lezer classic ) Dar es salaam Tanzania na Video imepikwa na mkali mwingine kutoka Afrika Kusini Justin Capos anayemiliki kampuni ya Gorilla Films.


Video ya African Beauty imekuwa released jana kwenye majira ya usiku hivi, hii ni video ambayo Diamond ameiachia kuisafirisha Album yake ya A boy from Tandale iliyozinduliwa usiku wa kuamkia jana.


Diamond katika Video hii amebadilika sana kulinagana na kuweka maneno mengi ya lugha ya Kigereza kuliko ya kiswahili na hii imekuwa ni sehem yake ya mafanikio kwenye level ya Kimataifa kwa sababu ngoma zote ambazo amewahi kuzitoa akifocus level .za kimataifa zimekuwa zinauzungu mwingi na collabo za wasanii wa kimataifa.

Diamond amekuwa hatarajii sana kusafirisha music wake kwenye vyombo vya habari vya (local) Tanzania kama alivyoeleza siku chache kabla ya kuzindua Album yake ya A boy from Tandale.

ITAZAME HAPO CHINI