Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 10:45 am

Bunge la seneta nchini marekani la weka record mpya baada ya kupinga uwamuzi wa OBAMA

Wabuge wa bunge la seneta nchini Marekani laweka record mpya kufuatia kupinga uwamuzi wa Rais Barack Obama

Bunge hilo limepinga uwamuzi huo baada ya Rais Obama kutaka nchi ya Saud Arabia kushtakiwa kwa tuhuma za kuhusika katika shambulio la septemba 11

kwa upande wake Rais Obama amechukizwa na hatua hiyo ya bunge kupinga kura ya veto, Obama amesema kuwa hatua hiyo ni hatari sana kwa mstakabali wa nchi hiyo,

kura hiyo baadhi ya wachambuzi wanasema ni hila inayo taka kumuweka OBAMA katika hali tete ya utawala wake.