- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Pombe aina ya togwa yauwa mmoja , tisa wanusurika kufa
Serengeti ; watu tisa wanusurika kufa na mmoja aliyetajwa kwa jina la Marwa Sinda miaka [5] amefariki dunia wilayani Serengeti mkoani Mara baada ya kunywa pombe ya kiyenyeji aina ya togwa.Kaimu mgang
News: Marekani yatofautiana na China kuhusu Makombora ya Korea ya Kaskazini
Washington: Maafisa wa Marekani wamepinga pendekezo ya serekali ya Beijini dhidi ya Korea Kaskazini kuwa huenda itasitisha majaribio yake ya makombora na yale ya Kinyuklia iwapo Marekani itasitisha
News: Wadaiwa sugu wapewa siku 14 na Tanesco Kulipa madeni yao
Dar es salaam; shiririka la umeme Tanzania [Tanesco] limetoa siku 14 kwa wadaiwa sugu kuhakikisha wanalipa madeni yao yote vinginevyo hatua za kukatiwa zitafuatia.Akizungumza na waandishi wa habari le
Barcelona yaipa kichapo PSG ( Nimekuwekea pia highlit ya magoli yote Hapa)
Spain: Ule usemi Wa kwamba hakuna kinacho shindikana Chini ya Jua umedhihirika usiku wa jana kwenye Ligi ya mabigwa Barani Ulaya baada ya Club ya Barcelona kuishikisha adabu Miamba ya soka nchni Ufara
News: Msako wa Viroba chini Wamuwa Mfanyabiashara moja Mkoani Dodoma
Dodoma; Mfanyabiashara maarufu wa viroba Festo Mselia mkaazi mkoa wa Dodoma , anaye daiwa kujiuwa kwa risasi baada ya kukanguliwa mara mbili na polisi kutokana na kumiliki bidhaa hiyo ambayo kwa
News: Mwakyembe amwiekea Kauzibe Tundu Lissu kwenye chama cha wanasheria
Dodoma: Zikiwa zimebaki siku chache za kufanyika kwa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika, Tanganyika Law of Associate(TLS). Waziri wa mambo ya Sheria na katiba Dr Harrison Mwakyembe amepinga
News: wakazi wa kyela wa pata neema Baada ya ujio wa meli mpya
Mbeya: Baada ya matarajio ya wakazi wengi wa kyela ya muda mrefu, kusubiri utengenezwaji wa meli tatu mpya, ambazo zitakuwa zikifanya safari zake kwenye ziwa Nyasa Hatimaya Jana moja ya meli hizo tatu
Nimekuwekea story nzima ya Mbowe jinsi alivyo pekuliwa Nyumbani kwake na maafisa...
Dar es salaam: Akiongea na muandishi wetu mwanasheria wa Mbowe Bwana Frederick Kihwelo alielezea kuwa baada ya mbowe kukamatwa na polisi na kuhojiwa na baadaye kuachiwa sasa walivyokuwa wanatoka Kituo
News: Idadi ya watumiaji wa simu nchini Tanzania wafikia milioni 40.173
Dar es salaam: Matumizi ya Simu za mkononi nchini yaongezeka kwa zaidi ya asilimia 66% toka mwaka 2005 mpaka 2016, MKURUGENZI wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi James Kilaba, amesema
News:RC Makonda na Kamanda Simon Sirro waitwa Mahakamani
Dar es salaam: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Paul Makonda, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam (ZPC), Kamishna Simon Sirro na Mkuu wa Upelelezi wa kanda hiyo (ZCO), Camilius Wambura, w