- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Mbowe amshangaa Rais Magufuli kuendelea kumkingia kifua mkuu wa mkoa wa Da...
Dodoma: Ikiwa ni siku ya tatu tangia kuanza kwa Bunge la Bajeti, jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, limeanza kusikika ndani ya mhimili huo wa dola baada ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,
News: Amuwa Mkewe kutokana na imani za Kishirikina
Mwanza: Mtu mmoja katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe kutokana na imani za kishirikina.Tukio hilo limetokea tarehe 5/04/201
Hizi ndizo faida za kula matunda mwilini
Matunda yana faida nyingi sana za kiafya mwilini. Ukiachana na ladha tamu inayotokana na kula matunda, kila mtu anashauriwa ale matunda tofauti yasiyopungua matano (5) kwa siku ili kupata faida zote m
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya April 7
Haya ni magazeti ya leo siku ya Ijumaa ya Tarehe 7 april 2017.. Baadhi ya habari zilizo kwenye magazeti yote ni 1. Habari ya kifo cha kiongozi wa freemason africa mashariki Dr chande, 2.Habari ya Spik
News: Afikishwa mahakamani kwa madai ya kumwingilia kimwili mtoto wake
Dar es salaam: Mkazi wa Mpigi Magoe, Ladslaus Kiwia (38), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akidaiwa kumuingilia kimwili mtoto wake wa kike (15) anayesoma kidato cha kwanza katika Shu
News: Mkenya aliyeshinda medali ya dhahabu, Rio 2016 abainika kutumia dawa za k...
Kenya: Mwanariadha wa mbio za masafa marefu kutoka nchini Kenya, Jemima Sumgong aliyeshinda medali ya dhahabu katika mashindano ya mbio za marathoni olimpiki mjini Rio mwaka jana pamoja na mashindano
NEWS: kiongozi wa freemason Tanzania na afrika mashariki afariki dunia
Dar es salaam: Aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji 'Andy' Chande afariki Dunia. Sir Andy amekuwa mwanachama wa Freemasons kwa takribani mi
News: Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi ataja sababu za ucheleweshwaji wa malipo...
Dodoma: Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha Chai Maruku mkoani Kagera ulianza Septemba, 2011 kutokana na uwezo mdogo
News: Mwakyembe Sitalifumbia macho tukio la uvamizi wa Clouds media
Dodoma: waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Dk Harrisson Mwakyembe amesema hatalifumbia macho suala la uvamiziwa clouds media jana kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana, muda mfupi baa
News: Roma mkatoriki akamatwa akiwa studio na kupelekwa kusikojulikana.
Dar es salaam: Rapa Roma Mkatoliki ambaye hivi sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Usimsahau mchizi' amekamatwa na kupelekwa kusikojulikana na watu wasiojulikana. Katika taarifa iliyotolewa na msanii