- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: AJALI YAUA WANAFUNZI WAWILI WA UDSM ENEO LA UBUNGO
TANZIA: Wanafunzi wawili Kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Maria Godian Soko, Steven E Sango pamoja na James (dereva) wamefariki dunia katika ajali ya Gari iliyotokea jana usiku eneo la Riverside Ub
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO APRIL 12, 2018
KARIBU, kwenye kurasa za magazeti ya leo siku ya jumatano ya tarehe 12, June 2018
NEWS: NAPE AIPINGA SHERIA ALIYOPITISHA MWENYEWE BUNGENI
Dar es salaam: Aliyewahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye ameibuka Hadharani na kuonekana kukasirishwa na kitendo cha serikali kuanza kutumia sheria ya makosa ya
NEWS : KATIBU MKUU PROF ELISANTE AFANYA ZIARA KUTEMBELEA ENEO LA ZUZU.
DOM: Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea eneo la wizara hiyo lililopo Zuzu jijini Dodoma liliyotengwa kwa ajili ya k
NEWS: SAKAYA AMSHUKIA MAALIM SEIF NAKUDAI ALIKUWA NA LENGO LA KUKIUA CHAMA HICH...
Kaimu katibu mkuu wa CUF upande wa Profesa Lipumba, Magdalena Sakaya amemshukia Maalim Seif na kudai alikuwa na lengo la kukiua chama hicho, ndio maana aliweza kuzuia chama kisipate ruzuku kwa nc
NEWS: MTATIRO AWAMWANGIA SIFA ZA PONGEZI VIONGOZI WA CUF.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Taifa Chama cha Wananchi CUF, Julius Mtatiro amewapongeza viongozi wa Chama chake wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama Maalimu Seif kuweza kukamata fedha ambazo zinge
NEWS: SERIKALI YATAMBUA MACHIFU NA MILA ZA TANZANIA.
BUNGENI DOM: Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amesema kuwa serikali inawatambua, machifu wa mila za Tanzania na ndiyo maana hata katika shughuli za kiserikali huwa w
SPORTS NEWS : KUELEKEA KOMBE LA DUNIA MO SALAH AMUAHIDI MAKUBWA RAIS WA MISRI
Mshambuliaji nyota wa Misri, Mohamed Salah amemuahidi Rais wa Misri, Abdel Fattah el Sisi kwamba atakuwa fiti kuitumikia nchi yake katika Kombe la Dunia. Salah aliyasema hayo wakati Rais el Sisi alipo
NEWS: DENI LA TAIFA KUHAKIKIWA MWAKANI
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amesema mwaka ujao wa fedha, Tanzania itafanyiwa tathimini kuhusu deni la taifa. Dk. Kijaji ametoa kauli hiyo bungeni leo wakati akijibu swali la
SPORTS NEWS: SIMBA YATUA NCHINI USIKU.
Kikosi cha Simba kimerejea nchini usiku wa jana kikitoea, Nakuru, Kenya ambako kilienda kushiriki mashindano ya SportPesa Super CUP. Kikosi hicho kimerudi ikiwa ni baada ya kupoteza mchezo wa fain