- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: PROF. KITILA: WATUMISHI ACHENI MAJUNGU FANYENI KAZI
Dodoma: Katibu Mkuu, wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo amewataka wafanyakazi wa Serekali katika wizara ya Maji kuacha tabia ya kuzungukana yaani kuzodoana kwa kile kinachojulikana
NEWS: RAIS WA KOREA AKUBALI OMBI LA TRUMP KUZURU MAREKANI
Kiongozi wa taifa la Korea kaskazini Kim Jong Un amekubali mwaliko wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuitembelea Washington baaada ya mkutano wa kihistoria baina ya mataifa hayo mawili nchini Sing
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMISI JUNE 13, 2018
Haya ni magazeti ya Leo siku ya Alhamisi ya Tarehe 13, June 2018
NEWS: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA VIONGOZI WA CHADEMA
Dar es salaam: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jana June 12 imetupilia mbali ombi la upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema na wenzake saba lililokuwa linatoa t
NEWS: WACHINA 19 WABURUZWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YAUHUJUMU UCHUMI
Dar es Salaam: Wachina 19 na watanzania 6, wamefikïshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.Wakili wa Serekali Patrick Mwita amesoma hati ya Mashtaka mbele ya hakimu
NEWS: HAYA NDIO MAMBO WALIYOKUBALIANA RAIS TRUMP NA KIM JONG UN
Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wamemaliza mazungumzo ya kwanza ya kihistoria kwa kutia saini taarifa juu ya ahadi za kuangamiza silaha za nuklia za Korea Kaskaizni.Trump
NEWS: RAIS MAGUFULI AMZAWADIA BARABARA MWANANCHI ALIYE MUULIZA SWALI
Dar es Salaam: Rais John Pombe Magufuli amempatia jina la barabara mkazi mmoja wa Kinondoni aliyejitambulisha kwa jina la Rashidi Masushi baada ya kuomba kuuliza swali kwa Rais na kusema swali lake li
NEWS: WAZIRI JAFO: MABARAZA YA BIASHARA NI CHACHU YA KUKUZA UCHUMI WA VIWANDA
DODOMA: Uwepo wa Mabaraza ya Biashara nchini unachochea azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kuifanya Tanzania inakuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati. Haya yamebainishwa leo Jijini Dodoma na Waziri
SPORTS NEWS : BANDA APANIA MSIMU UJAO WA LIGI KUU AFRIKA KUSINI
BEKI wa Baroka FC, mtanzania Abdi Banda amepania kufanya vizuri msimu mpya wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini baada ya kudai kuwa tayari ameifahamu vizuri ligi hiyo.Banda alijiunga na timu hiyo akitokea Sim
NEWS: HATIMAYE WABABE WAWILI WAKUTANA, NI TRUMP NA KIM
Rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un walikutana kwanza kwa dakika 38 , na walikuwa ni wawili hao pekee na wakalimani wao.Mkutano huo ulianza kwa viongozi wawili kus