- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SERIKALI HAITAKUWA NA MSAMAHA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO WATAKAOCHE...
DODOMA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe.Suleiman Jafo,amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano haitakuwa na msamaha kwa wanafunzi wa kidato cha Tano watakaochelewa kuripoti shuleni kwa zaidi
NEWS: MBOWE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU BAJETI ILIYOWASILISHWA NA WAZIRI WA FEDHA.
DODOMA: Kufatia bajeti iliyowasilishwa na waziri wa fedha na mipango Philipo mpango mwishoni mwa juma hili , Kiongozi wa kambi ya rasmi ya upinzaniBungeni ) Freeman Mbowe amesema bajeti iliyowasilishw
News: Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO, ...
Wanafunzi 70,904 waliohitimu kidato cha nne mwaka jana wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi na vya elimu ya kati kwa mwaka 2018, huku wengine 21,808 waliokuwa na sifa za kuchag
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAMOSI MAY 16, 2018
HABARI mtanzania, Karibu kwenye Kurasa za mbele za magazeti ya leo siku ya Jumamosi ya tarehe 16 june 2018
NEWS: ALIYEJIFUNGUA MAPACHA AKIWA MAHABUSU AKOSA DHAMANA
Kilimanjaro: Mwanamke aliyejifungua watoto Mapacha akiwa Mahabusu ,Marry Lukumay ameendelea kusota Gerezani na watoto wake baada ya kukosekana kwa wadhamini wenye sifa zinazokidhi masharti yaliyotolew
NEWS: GARI ZA SEREKALI ZINAZOVUNJA SHERIA KUCHUKULIWA HATUA
Dar es Salaam: Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku magari yote ya serikali, magari ya vyombo vya ulinzi na usalama na yale ya wagonjwa kupita kwenye barabara zisizo ruhusi
NEWS: WAZIRI TIZEBA AFUNGUKA NA KUSEMA FEDHA ZA KIGENI MAMBO MOTO
BUNGENI: Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango amesema akiba ya fedha za kigeni imeongezeka kwa mwaka 2017, na kupita viwango vilivyowekwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Amesema hayo leo
NEWS: MBUNGE AITAKA SERIKALI KUTOA ELIMU BURE KIDATO CHA TANO NA SITA.
Serikali kupiti Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia, William Ole Nasha amesema lengo la serikali huko mbeleni kadiri uwezo utakavyo ruhusu itatoa elimu bure hadi chuo kikuu. Nasha ameyabainis
NEWS: SERIKALI YAJIPANGA KUANDAA MAZINGIRA RAFIKI KUFANYA BIASHARA CHINI.
Baada ya kushuhudia ushiriki mdogo wa sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Serikali imeandaa mpango kabambe wa kuboresha mazingira ya biashara ili kuongeza ushiriki wao. Hayo y
TANZIA: NAIBU WAZIRI APATA PIGO MBAYA SANA.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula. amepata pigo la kuondokewa na mumewe aliyefariki dunia jana Jumatano, Juni 13, 2018 majira ya saa 11 jioni katika Hospitali ya