- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MUHIMBILI YAONDOA UVIMBE KWENYE INI BILA KUFANYA UPASUAJI
Dar es salaam: Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imekuwa hospitali ya kwanza kwa nchi za Afrika Mashariki baada ya kuanza kutoa huduma ya kuondoa uvimbe kwenye ini kwa kutumia utaalam wa kifaa ch
NEWS: TAARIFA YA KIJANA ALIYEFARIKI KWA KUPIGILIWA MISUMARI KICHWANI
NAIROBI: Mwanaume mmoja nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Robert Muchangi amefariki Dunia kwa kupigiliwa misumari ya mbao kichwani na bosi wake.Muchangi alifariki jana June 22 katika hospitali y
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAMOSI JUNE 23 2018
KARIBU kwenye kurasa za Magazeti ya Leo siku ya Jumamosi June 23, 2018 kusoma habar kubwa za magazeti ya Tanzania
SPORT: MABAO YA KUJIFUNGA YAMECHUKUA UMAARUFU KOMBE LA DUNIA URUSI
Goli la Own goal' limepata umaarufu mkubwa sana katika mechi za Iran, Ufaransa, Croatia, Senegal na Russia.Ingawa kombe la dunia la Ufaransa 1998, lilishuhudia mabao sita ya kujifunga , sasa kwenye sh
NEWS: KESI YA VIONGOZI WA CHADEMA YAKWAMA MAHAKAMANI
Dar es salaam: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na kesi inayowakabili viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa sababu ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe ku
NEWS: WAZIRI MPANGO ABANWA VIKALI JUU YA AJIRA NCHINI
Dodoma: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amebanwa vikali na Wabunge wa viti Maalumu, Mariam Msabaha (Chadema) na Kiza Mayeye (CUF) kumtaka waziri huyo kuelezea mkakati madhubuti wa kutatua
NEWS: MKE WA WAZIRI MKUU WA ISRAEL NETANYAHU ASHTAKIWA KWA WIZI
Tel avive: Mkewe waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu Bi Sara Netanyahu ameshtakiwa kwa wizi wa ulaghai kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha za umma ya Dolla za kimarekani $100,000 kwa huduma
NEWS: UMOJA ULAYA YAJIBU MAPIGO, YAIWEKEA VIKWAZO MAREKANI
Ijumaa ya leo Juni 22, Umoja wa Ulaya umeamua kuiwekea vikwazo Marekani kwa kuweka ushuru wa asilimia 25% kwenye bidhaa za chuma na 10% kwenye bati. Awali Umoja wa Ulaya umekua ukiitishia Marekani k
NEWS: SERIKALI ITAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WATAALAM WA AFYA .
DODOMA: Serikali itaendelea kutoa kipaumbele kwenye sekta ya afya hususan swala la kuajiri wataalam wa kada mbalimbali za afya nchini kwa kuzingatia maeneo yenye uhaba mkubwa wa watumishi hasa maeneo
BURUDANI : BUSHOKE AMTETEA Q CHILLAH ADAI HAWEZI KUKOSA SEHEMU YA KULALA
BUSHOKE : Q Chillah hawezi kukuosa sehemu ya Kulala,nizushi tu-Adai Q Chillah hata Nairobi anaweza kulala-Akanusha kulala Kwake -HajaliaMKONGWE wa muziki nchini 'bushoke'amemtetea rafiki yake ambae pi