- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MTOTO WA MIAKA 2 AJIUA MWENYEWE KWA RISASI
TEXAS: Mtoto wa umri wa miaka miwili nchini Marekani amefariki baada ya kujipiga risasi kichwani kwa bunduki ambayo imekuwa ikihifadhiwa na wazazi wake nyumbani kwao.Polisi wa Houston, Texas wanasema
NEWS: MTOTO WA RAIS ZUMA AFIKISHWA MAHAKAMANI
Mtoto wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Duduzane Zuma amefikishwa mahakamani, ambayo ni mahakama maalum inayoshughulikia kesi za rushwa huko Johannesburg.Duduzane Alifikishwa mahakamani Jan
MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULY 10, 2018
Habari. Leo ni siku nyingine ya Jumanne ya Tarehe 10 July 20118. Karibu kwenye kurasa za magazeti.
BURUDANI: JUSTIN BIEBER AMPOSA MCHUMABA WAKE KWA PETE
Mwanamuziki maarufu kutoka Canada Justin Bieber amem'posa mwanamitindo nchini Marekani Hailey Baldwin.Huyu binti ni nani? Hailey Baldwin ni mwanamitindo mwenye umri wa miaka 21 tu, anafahamika zaidi h
NEWS: ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KUPIGA NA KUMCHOMA KWA PASI KIJANA MDOGO
Manyara: Mkazi mmoja wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Bw. Nikodemu Johnson amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga na kumchoma kwa pasi ya umeme kijana mmoja mkazi wa Katesh wilayani humo.Mshtak
NEWS: CUF TIMU LIPUMBA WAPITISHA 49 KUGOMBEA UCHAGUZI WA MARUDIO
Dar es Salaam: Chama cha Wananchi (CUF) upande wa Profesa Ibrahim Lipumba anayetambulika na msajili wa vyama vya siasa kimetangaza kushiriki uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani katika kata 79, ambapo
NEWS: HUENDA RAIS KIKWETE BADO ANAUSHAWISHI MKUBWA KULIKO MAGUFULI
Dar es salaam: Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete Jana Jumapili Julai 8, 2018 amelikuwa kivutio cha wananchi wengi katika maonyesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu Sabasaba baada ya wananch
NEWS: KIONGOZI WA WAASI SUDAN KUREJEA KWENYE UMAKAMO WA RAIS
Hatimaye Kiongozi wa waasi nchini Sudani kusini Rieck Machar ameridhia kurudi kwenye wadhifa wake wa awali wa makamo wa raisi nchini Sudan Kusini baada ya makubaliano ya mgawanyo wa madaraka kufikiwa
Karibu mtanzania kwenye Kurasa za magazeti ya Leo siku ya Jumatatu Jul 9, 2018.
NEWS: WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MASOKO.
MLALO TANGA: Imeelezwa kuwa Ili kuboresha sekta ya kilimo Serikali inatakiwa kuongeza idadi ya masoko nchini lengo ikiwa ni kutatua changamoto zinazowakabili wakulima.Hayo yamebainishwa leo na wakuli