November 23, 2024, 8:06 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
PICHA: Tazama matukio yote yaliyo tokea katika mkutano mkuu wa CCM
Dodoama: Chama tawala cha rais wa Tanzania John Magufuli, CCM kimetangaza kuwatoa chamani maafisa 12 wa ngazi ya juu kwa makosa ya "kufanya hujuma" katika uchaguzi wa rais mwaka 2015.
Uamuzi huo hauna mfano katika historia ya chama hicho.Chama cha Mapinduzi kilichokuwa chama pekee tawala Tanzania hadi mwaka 1992, ulipotangazwa mfumo wa vyama vingi, kimechapisha katika mtandao wake orodha ya majina ya waliofukuzwa, kufuatia mkutano wa kamati kuu ulioitishwa jana usiku mjini Dodoma na kuongozwa na rais Magufuli. Akinukuliwa na vyombo vya habari vya Tanzania, katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM Humphrey Polepole amewatuhumu wanasiasa hao waliofukuzwa chamani kwa kile alichokiita "kukihujumu chama na kwenda kinyume na misingi ya chama" na hasa katika uchaguzi wa mwaka 2015. Hakutaja lakini ni hujuma za aina gani. Wanasiasa kadhaa mashuhuri akiwemo mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM bibi Sophia Simba wamefukuzwaDr. Emannuel Nchimbi na Sophia simba
Ras Magufuli akimsalimia Makamu mstaafu wa rais Dr Bilali
Rasi magufuli akisalimia na Waziri mkuu Kassim majaliwa
Hadija kopa akitumbuiza