November 29, 2024, 7:29 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI TIZEBA AFUNGUKA NA KUSEMA FEDHA ZA KIGENI MAMBO MOTO
BUNGENI: Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango amesema akiba ya fedha za kigeni imeongezeka kwa mwaka 2017, na kupita viwango vilivyowekwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Amesema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha mwenendo wa uchumi kwa mwaka 2017.
Dk Mpango amesema akiba hiyo imeongezeka kutoka Dola 5.9 bilioni za Marekani zinazotosha kuagiza hiduma na bidhaa kwa miezi 5.1 kutoka Dola 4.3 bilioni za mwaka 2016.
Waziri huyo amesema EAC inazitaka nchi wanachama kuwa na akiba inayotosha miezi 4.5.
Newest Posts