- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Waliofukuzwa CCM Lowasa awakaribisha kwa mikono miwili Kujiunga CHADEMA
Dar es salaam; Aliyekuwa mgombea wa urais mwaka juzi [2015] kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA na pia aliyekuwa waziri mkuu Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Edward Lowasa amesema "anawakaribisha CHADEMA waliofukuzwa Uwanachama wa CCM" Baada ya mkutano wa Halmashauri kuu ya kuwatimua 12 kati ya 14 walioadhibiwa.
Lowasa amesema "walioadhibiwa ni mashujaa waliosimamia kutetea Demokrasia" .
Lakini Pia Lowasa ni miongoni wa watu wanao tuhumiwa kuwa ni miongoni wa wanachama walio wengi wa CCM Kuchukuliwa hatua baada ya uamuzi wake wa kuhamia CHADEMA kwa kile kinacho aminika kuwa ni kupinga kuenguliwa kimakosa/kimakusudi kwenye nafasi ya Kinyang'anyiro cha Urais October mwaka 2015 na kamati kuu ya CCM, Pia sababu nyingine ni wanachama kujitoa chama tawala na kujiungana na upinzani.
vilevile katika taarifa yake aliyo toa kwa vyombo vya habari jana, Lowasa ambaye alikuwa mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM hadi mwaka 2015 , amesema viongozi waliotimuliwa demokrasia yao kipinga upindishajiwa kanuni na sheria .
''Hawa walikuwa mashujaa wa kutetea haki , demokrasia na taratibu na kupinga dhuluma ndani ya chama chao na nchini ,'' amesema Lowasa ambaye kabla ya kuenguliwa alikuwa mmoja wa makanda waliokuwa waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kupitishwa kuwania urais kwa tiketi ya CCM.