November 23, 2024, 8:27 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: UKATA wakwamisha ofisi ya CAG Kufanya kazi
Dodoma; Mdhibiti na mkanguzi mkuu wa hesabu za serikali [CAG], Profesa Mussa Juma Assad amesema serikali imeshindwa kutekeleza majukumu yake kwa wakati kutokana na ukata.
Assad ameyasema hayo jana wakati wa wa ufunguzi wa baraza la wafanyakazi wa ofisi yake mjini hapa.
Aliendelea kusema kuwa anashindwa kufanya kazi kwa kufikia kiwango kizuri kama inavyotakiwa licha yakuwa nawatumishi wazuri wenye sifa zakufaya kazi kwa muda unaotakiwa.
'kingine niseme nashindwa kukaa ofisini kwa utulivu kutokana na madeni makubwa ya wakandarasi ambao wanajenga majengo yetu , likiwamo la Rukwa ,kweli nina shida kubwa,''
amesema Assad.