Home | Terms & Conditions | Help

November 23, 2024, 10:36 pm

News: SIMBA CHAWENE Atoa miezi 3 mamlaka zote zihakikishe zimewanunulia wanahabari vifaa.

Dodoma: WaziriI wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene amezindua tovuti ya serikali katika ukumbi wa Kambarage hazina Ndogo mjini Dodoma.

Lengo la tovuti hiyo ni

1.Kuimarisha majukumu kwa uma.

2. wananchi kujenga imani kwa serikali.

3.kuweka taarifa muhimu Za serikali.

4.kuwezesha wananchi kuweza kujua kinachoendelea nchi.

5.Kuongeza uwezo kwa serikali ili kuwawezesha wananchi kupata taarifa kwa haraka.

6.kuwawezeha wananchi kupata njia rahisi yakuweza kuelezea matatizo yako kwa urahisi.

7.kuondoa rushwa kwa watumishi wa uma.

8. kuahakikisha kila mkoa una tovuti ili kusaidia watmishi wa uma kufanya kazi kwa uadilifu na kutoa taarifa kwa wananchi.

Lakini pia mladi wa tovuti umejikita katika,

1.kuhahikisha kuwepo na utawala bora.

2.lasrimali watu.

3.Lasrimali fedha.

Simba Shawene ametoa agizo kuwa baada ya miezi 3 mamlaka zote zihakikishe zimewanunulia Maafisa habari wa tovuti ya serikali vifaa ya kufanyia kazi kama vile kamera,tape record'