November 29, 2024, 11:52 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI YAKANUSHA KULIANDIKIA BARUA KANISA LA KKKT
Dar es salaam: Serikali imekanusha na kuuita batili barua iliyoandikwa na Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama ikilitaka Kanisa la Kilutheri Tanzania(KKT) kufuta waraka wa wake ndani ya siku 10
Akizungumza leo Juni 8, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema uandikaji wa barua hiyo ni uhalifu uliofanywa na watu wasioitakia nchi memaAmesema Serikali haipingani na dhehebu lolote na pale ambapo kuna uhitaji wa kufanyia kazi jambo kuhusu taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo taratibu huwa zinatumika kuzungumza na sio kama ilivyofanywa taarifa hiyo inayosambaa
Mwigulu amesema “Viongozi wa dini wasiwe na taharuki na taarifa hizo, hazina baraka za Serikali. Wasisite kuwasiliana na Serikali kujua uhalali wake.” amesema Mwigulu
Aidha, ameongeza kwa kusema kuwa waraka wa viongozi wa dini uliotolewa miezi iliyopita ni jambo lililopita na hivyo akawataka viongozi wa dini waendelee na kazi zao.
Newest Posts