Home | Terms & Conditions | Help

November 23, 2024, 8:31 pm

News: Rais Magufuli afuta maamuzi ya Waziri Mwakyembe

Dodoma: Baada ya Waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe kukataza watu wasifunge ndoa mpaka wawe na vyeti vya kuzaliwa limefutwa na Rais Magufuli leo alipozungumza na waandishi wa habari Ikulu ndogo ya chamwino Mkoani Dodoma mda mfupi kabla ya kuondoka mkoani hapo kurejea Jijini Dar es salaam.