November 29, 2024, 9:41 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: PAC KUKABIDHI TAARIFA KUHUSU BODI NA MENEJIMETI YA BOT KWA SPIKA NDUGAI.
Kamati ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC) leo inakabidhi kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai taarifa kuhusu bodi na menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inayotuhumiwa kutumia bima binafsi badala ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
Hatua hiyo inakuja baada ya Jumanne iliyopita, Spika Ndugai kuagiza PAC kuihoji BoT kuhusu tuhuma hizo zilizotolewa na Mbunge wa Ulanga, Gudluck Mlinga (CCM).
Akichangia bajeti ya Wizara ya Fedha, Mlinga alisema fedha za matibabu kwa maofisa wa BoT kwa mwezi ni Sh bilioni 12, lakini wangekuwa wanatumia mfuko wa NHIF matibabu yao kwa mwezi yangekuwa Sh bilioni moja tu.
Newest Posts