- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Mwigulu azindua Bodi mpya ya Parole
Dar es Salaam: kutokana na serikali ya awamu ya tano kuja nakasi ya kuboresha uongozi katika utawala tofautitofauti hatimaye Waziri wa mambo ya ndani ,Mwiguru Nchemba amezingua bodi mpya ya taifa la Parole baada ya ile ya awali kumaliza muda wake wa miaka mitatu.
Uzidunzi huo umefanyika katika bwalo la maafisa magereza ukonga jijini Dar es salaam ,lakini pia ameongeza kwa kusema kuwa nyenzo ya msingi ya utekelezaji huo ni kujikita kwenye mambo matatu ikiwamo uelewa wa sheria kwa watumishi hao , mpango na utaratibu mzima wa ufuatiliaji wa wafungwa watakaonufaika na utekelezaji wa mpango huo.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi hiyo Augustino Mrema amesema changamoto kubwa aliyokumbana nayo ni elimu ndogo miongoni mwa watu ambapo wamekuwa wakisema anawaingilia katika kazi zao.