November 30, 2024, 1:36 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS : MVUA KUBWA YANYESHA DAR TMA YATOA TAHADHARI
Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali unaozidi km 50 na zaidi kwa saa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo
Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na mamlaka hiyo jioni ya jana (Ijumaa) na kudai kutakuwepo vipindi vya mvua kubwa katika saa 24 ambavyo vinatarajiwa katika maeneo ya mkoa wa Dar es Salaam, Pwani, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba
Mbali na hilo, TMA imesema kwa matazamio kwa siku ya Jumapili Mei 13, 2018 kutakuwa na ongezeko la mvua katika maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini.
Newest Posts