- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Mhagama Asisitiza Uwajibikaji katika Kazi.
Dodoma: Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, bunge, kazi, vijana na ajira bi Jenesta Mhangama amezindua mfumo wa kielektoni wa kufuatilia utekelezaji wa ahadi ilani ya chama tawala na maagizo ya viongozi wakuu.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa waziri mkuu Bungeni mjini dodoma Mhagama amesema lengo la kuanzishwa kwa mfumo ni
Haya baadhi ya malengo ya mfumo wa kielektoni
1. kuwasaidia kupata takwimu sahii ya vituo vya afya.
2.kuweka dhana ya uwazi katika utendaji wa kazi.
3. kusaidia ofisi ya waziri mkuu kupata taarifa kiurahisi.
4. kuweka mambo yakiutendaji kwa serikali.
5.kusimamia uthibiti, uratibu na utendaji wa kazi kwa viongozi wakuu.
Mhagama amesema mfumo huo umejikita katika ufuatiliaji na utekelezaji wa kazi na kutekeleza ahadi na lai kwa viongozi pia ametoa lai kwa watumishi wa umma.
''kuajibika kwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia sheria na utaratibu waliojiwekea kuendana na muda maalumu.''amesema Mhagama.