- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MBOWE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU BAJETI ILIYOWASILISHWA NA WAZIRI WA FEDHA.
DODOMA: Kufatia bajeti iliyowasilishwa na waziri wa fedha na mipango Philipo mpango mwishoni mwa juma hili , Kiongozi wa kambi ya rasmi ya upinzaniBungeni ) Freeman Mbowe amesema bajeti iliyowasilishwa na Waziri huyo ni hewakwakuwabajeti hiyo haijaonyesha mkakati wowote wakuwanyanyua wananchi maskini.
Mbowe Amesema Bajeti Hiyo Aina Mpango Wowote Wa kuinua Uchumi wa Wananchi Na Anachokiona Ni Kulazimsha Ujenzi Wa Viwanda uku kukiwa hakuna wanunuzi wa bidhaa za viwandani
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma Mbowe amesema utovu wa nidhamu kwa baadhi ya viongozi ni miongoni mwa sababu kubwa ya bajeti kutokutekelezwa kwa sababu mambo yanajadiliwa bungeni na yanaishia bungeni.
Aidha Mbowe Alitoa Malalamiko Kwa Uteuzi Unaofanywa Kwa Wasomi Nchini Kwa Kuingizwa Katika Kazi Ambazo Zinaambatana Siasa Jambo Ambalo Analiona Sio Jema Katika kujenga Uchumi