- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: MADIWANI Wamtumbua Meya kuhusu ubadhilifu wa fedha.
Dodoma: Bararaza la Madiwani wa kata zote mkoani Dodoma wamefanya kikao 29 machi katika ofisi za manispaa mkoani Dodoma.
Lengo la kikao hicho ni mgogoro unaoendelea kati ya katibu mkurungezi, Baraza la madiwa na Meya wa manispaa ya Dodoma bw Jafari Manyema, kwa tuhuma zinazomkabili Jafari kwa ubadhilifu wa fedha za umma Tsh. millioni 3.
.Mama mayala ambaye ni Diwani wa kata ya Mbabala mkoani Dodoma amesema ni kweli Tuhuma hiyo ipo hatua walio ichukua ni katibu mkurungezi wao aliandika barua na kuwapelekea madiwani wote wakakubaliana na kuipeleka kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma kwa ajiri ya kuunda kamati ya uchunguzi wa swala hilo mpaka sasa ni siku kumi na mbili tangia machi 17 swala hilo halijapatiwa majibu.
Madiwani wote wametoa siku mbili mpaka 31 machi ijumaa swala hilo liwe limeshapatiwa majibu lasivyo watachua hatua yakufanya mambo yao kwa sababu wananchi wanamatatizo nawahitaji msaada nakumuungiza naibu meya mh. Ndege J. Salumu kuandika barua kumplekea mkuu wa mkoa kumuuliza nini kinaendelea kuhusiana na swala hilo, hatua ngani ameichukua na sababu nini mpaka barua hiyo kucheleweshwa kutolewa majibu nakusisitiza barua hiyo ifike kwa waziri mkuu.