Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 1:55 am

News: LAPF yazindua mfumo mpya wa uchangia wa mfuko wa Pesheni kwa njia ya mitandao ya kijamii.

Dodoma: Meneja wa mfumo wa Pesheni wa uchangiaji wa hiari [LAPF] Ms. Hanim Babiker amezindua mfuko wa uchangiaji wa hiari kwa njia ya mitandao ya kijamii ikiwamo Tigopesa na M-Pesa.

Uzinduzi huo umefanyika katika jengo la LAPF mjini Dodoma Babikier pamoja na mawakala wa mitandao hiyo wameweza kulezea kiwango cha uwekaji akiba kuanzia kiasi cha TSH. 1000-1000000.

Pamoja na hayo amesisitiza wananchi kujiunga na mfuko huu kwani kuna faida nyingi miongoni mwa faida hizo kupata liba baada ya mwaka endapo umeweka hela zako ndani ya mwaka 1 katika mitandao hiyo.

Hii ni L-PESA MENU. M- pesa.

Piga *150*00#

CHANGUA NO 4.

Lipa kwa M-PESA

CHAGUA NO 4.

Weka namba ya kampuni

WEKA NAMBA YA KUMBUKUMBU

Ambayo ni namba yako ya uanachama [Mfano 100-1040].

weka kiasi.

weka namba ya siri.

Thibitisha unatuma pesa kwenda ''MFUKO WA PENSHENI WA LAPF'' bonyeza namba 1.

Pesa yako imetumwa kwenda MFUKO WA PESHENI WA LAPF.

L-PESA tigopesa.

piga *150*01#

CHANGUA NO 4.

Lipa kwa M-PESA

CHAGUA NO 3.

Weka namba ya kampuni

WEKA NAMBA YA KUMBUKUMBU

Ambayo ni namba yako ya uanachama [Mfano 100-1040].

weka kiasi.

weka namba ya siri.

Thibitisha unatuma pesa kwenda ''MFUKO WA PENSHENI WA LAPF'' bonyeza namba 1.

Pesa yako imetumwa kwenda MFUKO WA PESHENI WA LAPF.