Home | Terms & Conditions | Help

November 23, 2024, 6:20 pm

Forbes imetoa list ya matajiri Barani Africa ndani yake yupo Mtanzania mmoja

New York: Janarida maarufu Duniani Forbes linalo jihusisha na maswala ya kibiashara kama vile Viwanda, Uwekezaji, masoko na Fedha Duniani Jana limechapisha Report ya Matajiri Duniani, pia likachapisha pia ripoti ya matajiri Barani Africa ambapo mfanya biashara maarufu Mo Dewji akatajwa kuwa ni Billionea wa 16 Barani africa.

Mkurugezi huyo wa METL inaonekana kipato chake kukuwa kwani kwa mwaka 2015/2016 alikuwa anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Bilioni $1.1 na akashika nafasi ya 21 katika list ya matajiri Barani Africa kwa sasa anautajiri wa $ 1.4Billioni. list hii mpya ya mwaka 2017 Mfanya biashara maarufu Nchini Nigeria alhaji Aliko Dangote ameendelea kuwa kinara katika list ya matajirio Africa kwa kuwa na utajiri wa Dolla 15.4 Billioni na kushika namba 1 Barani Africa ambapo kwa level ya Dunia ameshika nafasi ya 51, Ingawa ameshika nafasi ya kwanza lakini mwenendo wa biashara yake inaonekana kushuka kwani kwa mwaka 2015/2016 alikuwa na utajiri wa $ 16.4 Billioni ambapo ni mungufu ukilinganisha kwa mwaka 2017

Wakati huo kwa level ya Dunia Bill Gate ameendelea kuongoza kwenye list ya matajiri Duniani na kushika namba 1 kwa kuwa na uatajiri wa $ 75 Billioni'

Hii ndio orodha ya matajiri barani africa

#1 Aliko Dangote $12.1 B 59 cement, sugar, flour

2 Nicky Oppenheimer $7 B 71 diamonds

#3 Mike Adenuga $5.8 B 63 telecom, oil

#4 Johann Rupert $5.5 B 66 luxury goods

#4 Christoffel Wiese $5.5 B 75 retail

#6 Nassef Sawiris $5.3 B 56 construction, chemicals

#7 Naguib Sawiris $3.7 B 62 telecom

#8 Isabel dos Santos $3.2 B 43 investments

#9 Issad Rebrab $3.1 B 73 food

#10 Mohamed Mansour $2.7 B 69 diversified

#11 Koos Bekker $2 B 64 media, investments

#12 Othman Benjelloun $1.9 B 84 banking, insurance

#13 Yasseen Mansour $1.8 B 55 diversified

#14 Folorunsho Alakija $1.6 B 66 oil

#14 Patrice Motsepe $1.6 B 55 mining

#16 Aziz Akhannouch $1.4 B 56 petroleum, diversified

#16 Mohammed Dewji $1.4 B 41 diversified

#18 Youssef Mansour $1.1 B 71 diversified

#18 Stephen Saad $1.1 B 52 pharmaceuticals

#18 Onsi Sawiris $1.1 B 87 construction, telecom

#18 Anas Sefrioui $1.1 B 59 real estate