November 23, 2024, 9:25 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
DUWASA: Wadaiwa Sugu kulipa madeni yao kuepuka kujiunganishia maji kinyume na sheria
Dodoma: Mamalaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Dodoma (DUWASA),imetoa rai kwa wateja wake kuhakikisha wanalipa bili za maji kwa wakati na kuepuka kujiunganishia maji bila mamlaka husika kujua.
Sebastian Warioba, ni Afisa mahusiano wa DUWASA, akizungumza na muakilishi kwa njia ya simu, amesema katika maadhimisho ya wiki ya maji mamlaka imekuwa na wajibu wa kuwaelimisha na kutoa huduma kwa wateja na wananchi ambao bado hawajaunganishwa na DUWASA.
Maadhimisho ya wiki ya maji huadhimishwa kila mwaka kuanzia tarehe 16-22 machi kwa kutoa takwimu juu ya matumizi ya maji na upatikanaji wa huduma za maji katika mataifa,